Swahili

@Meg2006 (102)
Kenya
October 18, 2006 4:02am CST
Waswahili mko wapi? Tafadhali njooni kwenye mtandao ili tuwasiliane.
1 response
@Katpet (215)
• Kenya
9 Feb 07
Mimi hapa! Nina bashasha mpwito mpwito kukupata wewe mswahili mwenzangu. Yalete yote uliyo nayo, mawasiliano yashamiri. Tukuze Kiswahili, au vipi? Waambaje na hali lakini?